Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho kilichowaangusha Singida Kimataifa

Singida FG Future FC Hiki ndicho kilichowaangusha Singida Kimataifa

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Walichofeli Singida ni kitu kimoja tu, kuachana na kile walichokuwa wanakifanya kipindi cha kwanza.

Kipindi cha kwanza Singida walifanya vitu viwili kwa usahihi...Offside trap pamoja na Organisation ya kuzuia.

Zipo nyakati Future walikuwa wanaingia nyuma ya safu ya ulinzi lakini Singida walikuwa haraka kurudi kwenye maeneo sahihi na kudhibiti hatari. Kipindi cha pili mipango yote ikatupwa nje ya dirisha..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live