Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha maangamizi cha Namungo dhidi ya Simba

Namungo Jeshi la maangamizi la Namungo

Wed, 3 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Namungo kinachokwenda kuendeleza hali mbaya kwa mashabiki wa Simba Sports Club.

Shiza Ramadhani Kichuya amepata nafasi ya kuanza dhidi ya waajiri wake wa zamani Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live