Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Yanga vs Namungo

FEou VzVQAgQhIV Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Namungo

Sat, 20 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache ujao vinara kunako Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Timu ya Yanga, itashuka dimbani katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi Kuvaana na Namungo.

Mchezo huo ni mchezo wa raundi ya sita ya Ligi Kuu bara, na katika michezo mitano iliyopita Yanga haijapoteza mchezo wowote wala kutoa suluhu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live