Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Tanzania dhidi ya Burundi, CECAFA U20

Tanzanite Squad Kikosi kinachoanza dhidi ya Burundi

Mon, 1 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 20 "Tanzanite" inajitupa uwanjani muda mfupi kutoka sasa kupambana dhidi ya Timu ya Taifa ya Burundi.

Michuano hiyo ni CECAFA WOMENS CHALLENGE CUP 2021, inayofanyika nchini Uganda.

Mchezo huo unapigwa katika dimba la FTC, Njeru nchini Uganda majira ya saa 10:00.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live