Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Stars, kinachoanza dhidi ya DR Congo

Kikosi Stars Kikosi cha Stars kinachoanza dhidi ya DR Congo, Novemba 11

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache ujao, Tanzania itashuka dimbani katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, wakiikaribisha DR Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022.

Stars katika mchezo huo inaingia huku ikiwa inaongoza kundi J, wakiwa kileleni na alama zao 7.

Na hiki ndicho kikosi kinachoanza katika mchezo huu wa leo wakiwa na dhamana ya kukata kiu ya watanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live