Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachowakabili Red Arrows

Simba Vs Arrows Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kitakachoanza vs Red Arrows, Shirikisho Afrika

Sun, 28 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba Sports Club, ndio mwakilishi pekee wa Tanzania katika Michuano ya Kimatafifa Barani Afrika.

Simba wanashiriki Kombe la Shirikisho Afrika na leo majira ya Saa 10:00 jioni katika dimba la mkapa wanshuka kuvaana na Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi.

Hiki hpa kikosi cha Simba kinachoanza katika mchezo huo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live