Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Galaxy

FB5kuO1X0AEF8a6 Kikosi cha Simba kinachoanza mechi ya Leo dhidi ya Jwaneng Galaxy

Sun, 17 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, tayari wametoa kikosi chao kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba inakutana na Jwaneng Galaxy ya Botswana katika Uwanja wa Taifa wa Botswana, na mechi hiyo ni kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 10:00 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live