Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi Coastal Union

Simba Octoba 31 (600 X 726) Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinachoanza kupambana na Coastal Union

Sun, 31 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, usiku wa leo watashuka uwanjani katika dimba la Mkapa kupambana na Coastal Union.

Straika John Bocco, leo anaanza katika safu ya ushambuliaji akihakikisha anafanya kila awezalo kukusanya alama tatu.

Lakini pia kiungo Jonas Mkude anaweza kupata nafasi ya kucheza leo kwani yupo katika wachezaji wa akiba.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live