Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi bora cha msimu 2023/24

Kikosi Bora AzRYP.jpeg Hiki hapa kikosi bora cha msimu 2024/25

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Kikosi cha Simba, Mohamed Hussein (Tshabalala) ndiye mchezaji pekee kutoka timu ya simba ya wanaume aliyefanikiwa kuondoka na tuzo za TFF usiku wa jana baada ya kuingia Kwenye orodha ya kikosi bora cha msimu wa 2023/24.

Kikosi bora cha msimu 2023/2024 NBC PL

Kikosi bora cha Ligi Kuu ya NBC ndio hiki;

1. Lay Matampi (Coastal Union)

2. Kouassi Yao (Yanga SC)

3. Mohamed Hussein (Simba SC)

4. Ibrahim Bacca (Yanga SC)

5. Dickson Job (Yanga SC)

6. Feisal Salum (Azam FC)

7. Mudathir Yahaya (Yanga SC)

8. Kipre Junior (Azam FC)

9. Aziz Ki (Yanga SC)

10. Maxi Nzengeli (Yanga SC)

11. Wazir Junior (KMC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live