Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikiosi cha Yanga vs Ruvu Shooting

Yanga Vs Ruvu Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Maafande wa Ruvu

Tue, 2 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache ujao Vinara kunako Ligi Kuu Tanznia Bara (NBC Primia Ligi) Yanga watashuka dimbani kumenyana na Ruvu Shooting.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Mkapa Jijini Dar, majira ya saa 12:15 jioni na hiki ndicho kikosi cha wananchi kuelekea mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live