Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndo timu anayokwenda Prince Dube

Prince Dube 1 Hii ndo timu anayokwenda Prince Dube

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutokea Afrika Kusini zinadai kuwa Super Sports United ya Afrika Kusini inatajwa kuiwinda saini ya mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube.

Nyota huyo amepeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba ndani ya Azam FC siku kadhaa zilizopita.

Yanga SC wanahusishwa kuiwinda saini ya mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Zimbabwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live