Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndiyo timu ya Crown Sports

Crown Media Book Hii ndiyo timu ya Crown Sports

Wed, 3 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mchambuzi wa masuala ya soka kupitia Efm na TVE, Geof Lea amejiunga na kituo cha Crown FM inayomilikiwa na msanii Alikiba.

Crown FM Radio imeanzisha kipindi cha michezo ambacho kinaitwa Crown Sports na kitakuwa kinaruka hewani kuanzia saa (3) asubuhi mpaka saa (6) mchana.

Watangazaji na wachambuzi ni:

◉ Geof Lea

◉ Hans Raphael

◉ Naseeb Mkomwa

◉ Pablo Almas

◉ Juma Ayo

Inaelezwa kuwa, Jemedari Said pia yuko kwenye mazungumzo ya kujiunga na kituo hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live