Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndiyo timu ya Afrika ambayo haina mchezaji wa kigeni kutoka Afrika

De Angola Petro Hii ndiyo timu ya Afrika ambayo haina mchezaji wa kigeni kutoka Afrika

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je, unajua kuwa Klabu ya Petro de Luandaya Angola, msimu huu wachezaji wao wa kigeni hawatoki Katika Bara la Afrika?

Kwenye Kikosi chao Wana Wareno watatu, Wabrazil wawili, na kutoka Honduras mmoja na wachezaji wengine waliobaki wanao unda Kikosi Cha Mreno Alexander Santos wote ni raia wa Angola.

Msimu Huu kwenye #CAFCL Wapo Kundi 'C' Pamoja na timu za Al Hilal, Etoile Sahel na Esperance Tunis.

Wamempiga Al Hilal (1-0) na wameenda Tunisia na kuifunga Etoile Sahel (2-0) na kutoka sare (0-0) na Espérance Tunis, wanongoza Kundi wakiwa na alama 7, Kumbuka Hawajaruhusu Goli Hadi sasa.

Wamewekeza sana ndani ya Uwanja na kuunda Kikosi kinacho endelea kuhimalika siku Hadi siku, Petro de Luanda ni tatizo kwenye #TotalEnergiesCAFCL msimu Huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live