Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndiyo sababu ya Simba kumtema Maxi Nzengeli

Maxi Mpia Nzengeli Ii Hii ndiyo sababu ya Simba kumtema Maxi Nzengeli

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kuwa, viongozi wa klabu hiyo walimkataa Maxi Mpia Nzengeli kutokana na mwonekano wake ulivyo.

Viongozi waliompokea kwa mara ya kwanza hawakupendezwa na namna anavyoonekana wakiamini mchezaji wa maana hawezi kuwa na mwonekano kama wake.

Kwa mujibu wa ripoti inaeleza kuwa viongozi hao walihitaji mchezaji mwenye mwonekano kama Willy Essomba Onana.

Yanga walimsajili Maxi Nzengeli kutoka Klabu ya AS Maniema Union ya Congo mwanzoni mwa msimu huu ambapo mpaka sasa amefunga mabao 9 na assists 2 kwenye Ligi Kuu ya NBC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live