Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio sababu Ali Kiba kutovaa jezi ya Simba

Simba AFL Ceremony.jpeg Hii ndio sababu Ali Kiba kutovaa jezi ya Simba

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wengi wamekuwa wanajiuliza maswali mengi kutokana na vazi la mwanamuziki Alli Kiba katika mechi ya kwanza katika kombe la African Football League katika dimba la Benjamini Mkapa Simba dhidi Al Ahly

Mechi ya ufunguzi wa kombe la AFL ni mechi ambayo iko chini ya shirikisho la soka barani Africa (CAF) kushirikiana na Shirikisho la soka Tanziania (TFF) Hivyo haikuwa mechi ambayo hiko chini ya klabu fulani

Alli Kiba alipata nafasi ya kutumbuiza sio kama msanii anaye wakilisha klabu fulani kama tulivyoona katika tamasha la Simba day hapana, Ndiyo mana Alli Kiba alivalia nguo zenye rangi za CAF na sio klabu moja wapo, Na ndio maana Alli Kiba pia hakuimba wimbo ulitumika katika hamasa ya tamasha la Simba ya Simba mnyama, Alli Kiba alitumbwiza kama msanii anayetoa burudani kwa watu wote waliokuwepo uwanjani na sio mashabiki wa klabu moja wapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live