Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio Orodha ya Makocha waliotimuliwa Ligi Kuu 2023/24

Robertinho X Kaze Hii ndio Orodha ya Makocha waliotimuliwa Ligi Kuu 2023/24

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Simba Sc Robertinho anakuwa kocha wa 7 katika round 9 tu ligi kuu kufutwa kazi msimu huu 23/24.

Cedric Kaze - Namungo

Zubeir Katwila - Ihefu.

Habibu Kondo - Mtibwa Sugar

Ernst Middendorp - Singida FG

Hans Van Pluijm - Singida FG

Mwinyi Zahera - Coastal Union

Robertinho Oliveira - Simba SC

Unadhani ni Kocha gani anafuata katika Orodha hii? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live