Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio Kanuni ya Mfungaji Bora 2023/2024 iliyozua utata

Kiatu Cha Mfungaji Bora Hii ndio Kanuni ya Mfungaji Bora 2023/2024 iliyozua utata

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa tuzo ya Mfungaji Bora ni mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi kuliko wengine katika shindano husika.

Ikitokea zaidi ya mmoja wamefungana idadi ya mabao, vigezo vifuatavyo vitatumika kwa kufuata mpangilio ili kumpata mshindi;

13.1 Magoli yaliyofungwa kwa njia ya kawaida yatakuwa na alama mbili na yaliyofungwa kwa penati yatakuwa na alama moja. Mchezaji mwenye alama nyingi atakuwa mshindi.

13.2 Endapo watalingana alama, mchezaji aliyecheza muda mchache zaidi atakuwa mshindi.

13.3 Endapo watafanana vigezo vyote viwili hapo juu, mchezaji aliyefunga mabao mengi ugenini atakuwa mshindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: