Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndi tarehe rasmi Droo ya Robo Fainali CAF

Caf X Conf Hii ndi tarehe rasmi Droo ya Robo Fainali CAF

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa CAFCL na Kombe la Shirikisho CAFCC 2023/24 itafanyika Machi 12 Cairo, Misri 15:00 ( EAT).

Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa CAFCL na Kombe la Shirikisho CAFCC 2023/24 itafanyika Machi 12 Cairo, Misri 15:00 ( EAT). Droo hiyo ya hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inasubiriwa kwa hamu na wadau na wapenzi wa Soka nchini kutokana na uwepo wa Vilabu vikongwe vya Simba na Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live