Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii hapa siri ya ushindi wa Yanga dhidi ya Aziz Ki

Aziz KI X Ushindi Yanga Hii hapa siri ya ushindi wa Yanga dhidi ya Aziz Ki

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka, Hans Raphael amesema, Gamond alitambua uwezo mkubwa wa Aziz Ki lakini alimuacha hadi alipokuja kuiamua mechi.

"Siku zote makocha wakubwa duniani huweka Imani kwa wachezaji wao wakubwa,Inawezekana siku husika mchezaji akawa na siku mbaya kazini,au kiwango chake kikashuka ghafla lakini kwa namna yeyote kocha atambakisha uwanjani huku akiamini mchezaji mkubwa anahitaji moment moja kuamuwa mechi.

Aziz Leo hakuwa na mchezo mzuri,amepoteza baadhi ya nafasi Ila Gamond,alijua kuna moment itafika Aziz atafunga…..Mwisho wa siku ndicho kilichotokea.

Cut back nzuri ya Pacome,Finishing bora ya Aziz…Tayari Yanga wako fainali na Azam Fc."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live