Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii hapa orodha ya wanaowania Tuzo ya Golikipa bora wa Mwaka

Yashin Trophy Hii hapa orodha ya wanaowania Tuzo ya Golikipa bora wa Mwaka

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jarida la France Football ambalo ni waandaaji wa tuzo ya Ballon d'Or leo Septemba 6, 2023 limetoa orodha ya walinda milango wanaowania tuzo ya golikipa bora wa mwaka ‘Yashin Trophy’ 2023.

Mlinda mlango wa Manchester United na Cameroon, Andre Onana na golikipa wa Al Hilal ya Saudi Arabia, na Morocco Yassine Bono ni wawakilishi pekee wa Afrika kwenye orodha hiyo.

Marc André ter Stegen

Dominik Livaković

Emiliano Martínez

Thibaut Courtois

Aaron Ramsdale

Mike Maignan

Yassine Bono

André Onana

Brice Samba

Ederson

Chanzo: www.tanzaniaweb.live