Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii hapa jezi mpya ya Yanga msimu ujao

Yanga Uziii Hii hapa jezi mpya ya Yanga msimu ujao

Sat, 27 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Klabu ya Yanga imetambulisha uzi wao mpya utakaotumika msimu wa 2024/25.

Yanga wametambulisha jezi za aina tatu ambazo ni jezi ya nyumbani, ugenini na jezi ya ziada ama jezi namba tatu.

Unaupa asilimia ngapi uzi huu wa Wananchi? Tupe maoni yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: