Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii Kali! Kombe la Dunia liliibwa na halikupatikana mpaka leo

Kombe La Dunia Liliibwa Hii Kali! Kombe la Dunia liliibwa na halikupatikana mpaka leo

Mon, 21 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London.

Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi kupatikana huku ikiaminika liliyeyushwa na kuuzwa.

FIFA walilazimika kuagiza nakala ya Kombe la Dunia iliyotengenezwa na Eastman Kodak likiwa na Kilo 1.8 za Dhahabu, hilo ndiyo hukabidhiwa Mshindi wa Michuano likiitwa 'FIFA World Cup'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live