Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hesabu zao zipo Ligi Kuu, sio Ligi ya Mabingwa

Arsenal X Lens Kikosi cha Arsenal

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Arsenal Mikel Arteta anatarajia kuwapumzisha nyota wake wengi wa kikosi cha kwanza kuelekea mchezo dhidi ya PSV utakaopigwa Jumanne hii.

Kocha mkuu wa kikosi cha Arsenal Mikel Arteta anatarajia kuwapumzisha nyota wake wengi wa kikosi cha kwanza kuelekea mchezo dhidi ya PSV utakaopigwa Jumanne hii. Arteta atawapumzisha nyota hao kwasababu tayari ana uhakika wa kufuzu hatua ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini pia kwa sababu ana mchezo mzito dhidi ya Brighton mwishoni mwa wiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live