Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Henry: Sijawahi kuona mchezaji kama Messi

Messi X Henry Henry: Sijawahi kuona mchezaji kama Messi

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Thierry Henry amenukuliwa akielezea makubwa yanayofanywa na Leo Messi , kwa uzoefu wake kama mchezaji na ugumu uliopo

“Sijawahi kuona mchezaji wa aina ya Messi ,alikuwa akitaka kufunga goli basi lazima afunge , nimeona wengi hata mimi nimefanya vingi ila huyu mtu sio wa kawaida “

“Wapo watu wanaobeza ,hivi unajua ni ngumu kiasi gani kutembea na mpira kila movement ya timu, kasi , chenga ,turning,namna anavyolinda mpira na bado anajua nini kinakuja mbele “

“Unajua ni ngumu kiasi gani kufanya yote haya ! binafsi huwa nashangaa anawezaje kufanya haya na hachoki “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live