Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Henock Inonga apata majeraha uwanjani, akimbizwa hospitali

Inonga Injury A0002 Henock Inonga apata majeraha uwanjani, akimbizwa hospitali

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba 21 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

Inonga alipandishiwa mguu kwa juu na Kapteni Haji Ugando wakati akiwa amepiga mpira na ndipo alipoumia kwenye mguu na mwamuzi kumpa kadi nyekundu Ugando ikiwa ni dakika ya 21 ya mchezo.

Inonga aliondolewa uwanjani hapo na ambulance kuelekea hospitali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live