Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Henock Inonga ajifunga Msimbazi

Henock Inonga Baka Varanee.jpeg Beki wa Simba Henock Inonga Baka

Sun, 25 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki kisiki wa Simba, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ ameongeza mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba hadi mwaka 2025.

Beki kisiki wa Simba, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ ameongeza mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba hadi mwaka 2025. Inonga alijiunga na Simba msimu wa 2021/2022 na kuibuka beki bora wa msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live