Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

He! Ishu ya Kompany kumbe siriasi bwana

Skysports Kompany Burnley 6114608 Vicent Kompany

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Burnley ambayo imeshuka daraja EPL, Vincent Kompany amewaaga Viongozi wa klabu ya Burnley FC pamoja na wachezaji wa klabu hiyo na amewasilisha vitu vyote vilivyochini ya klabu hiyo alivyokuwa amekabidhiwa kama mfanyakazi wa klabu hiyo.

Kocha wa Burnley ambayo imeshuka daraja EPL, Vincent Kompany amewaaga Viongozi wa klabu ya Burnley FC pamoja na wachezaji wa klabu hiyo na amewasilisha vitu vyote vilivyochini ya klabu hiyo alivyokuwa amekabidhiwa kama mfanyakazi wa klabu hiyo. Kompany kituo kinachofuta ni Ujerumani ambako ametajwa kuwindwa na miamba wa Soka nchini humo Bayern Munich

Chanzo: www.tanzaniaweb.live