Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hazard arudi kukipiga Stamford Bridge

Hazard Pic Data Eden Hazard

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Eden Hazard atarejea katika dimba la Stamford Bridge Kwa mara nyingine mara baada ya kustaafu kwake,atajumuika katika mchezo wa hisani utakaopigwa mwezi June,

Eden atarejea Darajani kwenye mechi ya hisani ambapo atakuwa kwenye moja kati ya timu zitakazocheza mchezo huo ambao utachezwa tarehe 9-Juni mwaka huu,

Mchezo huo pia utamshuhudia Frank Lampard akiwa kocha wa timu mojawapo huku timu nyingine ikiongozwa na kocha wasasa wa Chelsea, Mauricio Pochettino pamoja na msaidizi wake, Jesus Perez.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live