Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hazard ampa Messi Ballon D'or leo

Messi X Hazrd.jpeg Hazard ampa Messi Ballon D'or leo

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo ndio Usiku wa tuzo za mchezaji bora Duniani Ballon D'or, tuzo ambazo zitatolewa katika Jiji la Paris nchini Ufaransa majira ya saa 4:30 usiku.

Taarifa zinaeleza kuwa tayari tuzo hiyo kuna uwezekano mkubwa ikabebwa na Lionel Messi japo wachambuzi na wadau mbalimbali wanaamini kumpatia Messi ni kuukosea heshima mpira kwa kile Haaland alichokifanya.

Usiku wa leo ndio usiku wa kutoa sintofahamu zote kuhusu tuzo hizi, wewe unatamani nani abebe Messi au Haaland...?

Tupe Utabiri wako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live