Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hazard agoma kutundika Daluga

Eden Hazard.jpeg Eden Hazard

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Eden Hazard ametangaza kurejea kwenye soka mwezi huu baada ya Real Madrid kumalizana na mchezaji huyo.

Hazard hakuwa na wakati mzuri tangu pale alipojiunga na Madrid akitokea Chelsea msimu wa 2019

Hata hivyo Eden Hazard hajaweka wazi ni klabu gani ataenda kuitumikia baada ya kutangaza kurudi huko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live