Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hazard afikiria kuachana na Soka

Eden Hazard 1140x640 Eden Hazard

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

aada ya mkataba wake kuvunjwa rasmi na real Madrid msimu huu Eden Hazard anafikiria kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 32 sasa!

aada ya mkataba wake kuvunjwa rasmi na real Madrid msimu huu Eden Hazard anafikiria kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 32 sasa! Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji kwa sasa anapata wasaa mgumu wa kupata klabu ya kuitumikia baada ya kuondoka Santiago Bernabeu msimu huu ambapo mawazo yake tayari anawaza kuachana na mpira moja kwa moja baada ya msimu uliopita pia kutangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya taifa lake la Ubelgiji

Chanzo: www.tanzaniaweb.live