Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haya ndiyo maajabu ya Mourinho

Mourinho Ba.jpeg Haya ndiyo maajabu ya Mourinho

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Dortmund Marcel Schemelzer amesema alishangaa sana Mourinho alipomtuma akampe maelekezo Ozili bila kujali wapo timu tofauti.

"Wakati najiandaa kurusha mpira nilishangaa Mouringo alikuja karibu yangu na kuniambia nenda kwa Ozil mwambie aongeze kasi wakati anashambulia , nilimshangaa sana na nilivyompa maagizo Ozil aliitikia kwa kichwa cha ajabu baada ya muda Ozil akasawazisha," Marcel Schemelzer.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live