Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haya hapa matokeo yote, Ligi ya Mabingwa Afrika

CAF Results Matokeo ya Michezo ya kwanza kufuzu hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuanzia mwishoni mwa juma lililopita, kulikua na michezo ya mkondo wa kwanza kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kuna timu ambazo tayari zimetanguliza mguu mmoja kutokana na kufanya vyema mechi zao za raundi ya kwanza lakini zilizo nyingi bado matokeo yanaruhusu yeyote kufanhya chochote na mahali popote.

Mechi za marudiano kupigwa mwishoni mwa wiki hii, ili kupata timu ambazo zitakwenda hatua ya Makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live