Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haya hapa Matokeo ya mechi zote 8 za mwisho Ligi Kuu ya NBC leo Mei 28

Matokeo Leo Zsz Matokeo ya mechi zote 8 za mwisho Ligi Kuu ya NBC leo Mei 28

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matokeo ya mechi nne Ligi Kuu ya Tanzania zilizochezwa leo, Jumanne, Mei 28, 2024, ambazo zilikuwa mechi za mwisho za kufunga msimu wa mwaka 2023/24 ni kama ifuatavyo;

Simba 2-0 JKT Tanzania

Yanga SC 4-1 Tz Prisons

Geita Gold 0-2 Azam FC

Singida FG 2-3 Kagera

Mashujaa 3-0 Dodoma

Namungo 3-1 Tabora Utd

Coastal Union 0-0 KMC

Ihefu 5-1 Mtibwa Sugar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live