Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawakugomea mechi waliugua vichomi

Tabora United Www Hawakugomea mechi waliugua vichomi

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tabora United kwenye mchezo wake dhidi ya Tanzania Prisons waliopoteza 2-1 ilionekana kuwa na wachezaji watano pekee kwenye benchi lake la ufundi jambo ambalo lilizua mjadala kuwa huenda nyota hao wanaidai klabu hiyo mishahara hivyo kupelekea kugomea mchezo huo.

Klabu ya Tabora United kwenye mchezo wake dhidi ya Tanzania Prisons waliopoteza 2-1 ilionekana kuwa na wachezaji watano pekee kwenye benchi lake la ufundi jambo ambalo lilizua mjadala kuwa huenda nyota hao wanaidai klabu hiyo mishahara hivyo kupelekea kugomea mchezo huo. Afisa habari wa klabu ya Tabora United amelitolea ufafanuzi hilo kuwa hakuna mchezaji anayeidai klabu hadi hivi sasa na kilichosababisha timu hiyo kuwa na nyota wachache kwenye benchi ni mabadiliko ya hali ya hewa [Baridi] ambapo nyota sita [6] walishikwa na kichomi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live