Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawajapata ushindi tangu waingie mwaka 2023

Palace Win 2023 Kikosi cha Crystal Palace

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Crystal Palace ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kushinda mechi yoyote ya Ligi Kuu England tangu mwaka huu 2023 uanze.

Kwenye Ligi Kuu England, Palace imefikicha mechi kibao kwenye ligi tangu mwaka huu uanze na imeshindwa kupata ushindi.

Mechi yao ijayo watakipiga na Arsenal inayopambana kunyakua taji lao la kwanza la Ligi Kuu England baada ya miaka 19.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live