Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa viungo wa Yanga vs Azam FC kuna mtu atapigwa nyingi

Aucho Bangala Sds Hawa viungo wa Yanga vs Azam FC kuna mtu atapigwa nyingi

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Klabu ya Azam kumsajili kiungo mkabaji, Yanick Bangala Litombo raia wa COngo akitokea Yanga, timu hiyo sasa inaonekana kuimarika zaidi kwenye eneo la kati.

Anaandika Kelvin Rabson;

Tunaangalia maeneo muhimu kuelekea michezo ya Ngao ya Jamii (community shield).

Kuelekea kwenye mchezo wa kwanza wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc, tunaweza kuona hii battle kwenye kiungo.

Azam Fc wakiwa na “Feisal + Yannick” viungo wawili wa chini (Double Pivot) ambao wameshahudumu ndani ya Yanga kwa mafanikio makubwa sana, then Akaminko akasimama mwenye kwenye utengenezaji wa nafasi “Creativity” kwenda mbele namba 10 .

Yanga kwenye kiungo pia wakiwa na “Double Pivot” ya Mudathir + Aucho (wote ni wazuri kukaa na mpira na kuichezesha timu “Game Controller”) then Maxi mbele yao kwa perfomance bora kwenye siku ya Wananchi , nafikiri atafaa sana (Kasi + Passer mzuri then yuko Sharp)

Hili ni eneo la kiungo kuelekea mchezo wa kwanza Ngao ya Jamii Yanga Vs Azam (Nusu Fainali ya Kwanza) ntarudiiiiii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: