Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndiyo mastaa 12 wa Kimataifa Yanga msimu wa 2024/25

Yangasc Coco Hawa ndiyo mastaa 12 wa Kimataifa Yanga msimu wa 2024/25

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hawa ni ndiyo wachezaji (12) wa kigeni katika Klabu ya Yanga SC itakaowatumia msimu mpya wa 2024/25.

1. Djigui Diarra - Mali 2. Yao Attohoula Kouassi - Ivory Coast 3. Chadrack Issaka Boka - Congo DR (new) 4. Khalid Aucho - Uganda 5. Maxi Mpia Nzengeli - Congo DR 6. Duke Deuces Abuya - Kenya (new) 7. Pacome Peodoh Zouzoua - Ivory Coast 8. Stephane Aziz Ki -Burkina Faso 9. Clatous Chota Chama - Zambia (new) 10. Kennedy Musonda - Zambia 11. Jean Othos Baleke - Congo DR (new) 12. Prince Mpumelelo Dube - Zimbabwe (new).

Mataifa Congo DR - 3 Ivory Coast - 2 Zambia - 2 Burkina Faso - 1 Uganda - 1 Mali - 1 Kenya - 1 Zimbabwe - 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live