Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio wakali wa Cleansheet Ligi Kuu Bara

Djigui Diarra Cleanshit Kinara wa Cleansheet Ligi Kuu Bara, Dijugui Diarra

Wed, 12 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikikamilisha mzunguko wa 27 huku Yanga akiendelea kusalia kileleni kwa alama zake 68 akifuatiwa na Simba wenye alama 60.

Kuna wachezaji wanaendela kutengeneza Takwimu zao binafsi katika maeneo tofauti tofauti ambayo wanacheza.

Miongoni mwao ni Magolikipa ambao wana rekodi za kutoruhusu mabao kwa timu zao yaani Cleansheets.

Mlinda Mlango wa Yanga, Djigui Diarra anaendelea kukamata usukani akiwa hajaruhusu bao katika michezo 15.

Tazama Orodha kamili hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live