Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio wachezaji waliopata kadi nyekundu mpaka sasa Ligi Kuu

Wachezajiiiii Hawa ndio wachezaji waliokula kadi nyekundu mpaka sasa Ligi Kuu

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka sasa imechezwa michezo 154, Kwenye michezo hiyo ni wachezaji watano tu kutoka timu tano tofauti ndio wameonyeshwa kadi nyekundu.

Wachezaji hao ni kutoka Vilabu vya,

▪️Namungo

▪️Geita Gold

▪️Coastal Union

▪️KMC

▪️Ihefu.

Wachezaji walioonyeshwa kadi nyekundu mpaka sasa,

▪️keneth kunambi (Ihefu)

▪️Masoud Abdallah (KMC)

▪️Mwaita Gereza (Geita Gold)

▪️Hija Ugando (Coastal Union)

▪️Abdulmalik Zakaria (Namungo)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: