Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio wababe 8 waliotinga Robo Fainali UEFA

UEFA Robo Final Hawa ndio wababe 8 waliotinga Robo Fainali UEFA

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michezo ya Hatua ya 16 Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika jana kwa michezo miwili huku Real Madrid na Napoli wakitinga hatua ya Robo Fainali wakiungana na timu nyingine 6.

Timu kutoka Italia zinaonekana kufanya vizuri wakati huu kwani tatu kati ya nane zimetokea Italia.

Timu hizo zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ni;

Bayern Munich (Ujerumani), Real Madrid (Hispania), Benfica (Ureno), Man City (England), Chelsea (England), AC Milan (Italia), Inter (Italia) na Napoli (Italia).

Droo ya kupanga michezo ya Robo Fainali itafanyika siku ya Ijumaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live