Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio nyota wa kuchungwa, CR Belouizdad vs Yanga leo

Leone Wamba Hawa ndio nyota wa kuchungwa, CR Belouizdad vs Yanga leo

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijiandaa kuwakabili CR Belouizdad ya Algeria mchezo wa hatua ya MakundiLigi ya Mabingwa Afrika.

Hawa ndio nyota wa kuchungwa kwenye mchezo wa leo, Ni mshambuliaji, Leone Wamba raia wa Cameroon aliyefunga hat trick wakati wanatinga makundi, Kocha wake anahofia fitinesi yake, lakini amewaomba mashabiki waje kwa wingi uwanjani kuwapa nguvu wachezaji wa timu hiyo.

Mbali na Wamba anayeongoza kwa ufungaji ligi ya kwao sambamba na Boussouf Ishak wenye mabao mawili kwenye ligi, Yanga inatakiwa kuwa makini pia na Darfalou Oussama, kiungo Benguit Abdelraouf wenye bao moja kila mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: