Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio mastaa ambao hawajawahi kupewa kadi nyekundu

No Red Card Hawa ndio mastaa ambao hawajawahi kupewa kadi nyekundu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hawa ndio Mastaa ambao kwenye maisha yao ya soka hawajawahi kupata kadi nyekundu licha ya kucheza mechi nyingi na wengine kuwa tayari wamestaafu .

Hii ndio orodha ya wachezaji hao;

1.Ryan Giggs: mechi 963

2. Raul: mechi 932

3.Karim Benzema: mechi 863

4. Andrés Iniesta: mechi 840

5. Philipp Lahm: mechi 652

6. Gary Lineker: mechi 647

Chanzo: www.tanzaniaweb.live