Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio Makinda wanaotamba barani Afrika

Makindaaaaaa.png Hawa ndio Makinda wanaotamba barani Afrika

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makinda wenye vipaji vikubwa wanaocheza Ulaya wapo wengi kama Karim Konate, Kenneth Omeruo, Abdallah Yaisien, Souleyman Coulibaly, Jean Marie Dongou,Jonas Ramalho, Zakaria Labyad, Nathan Kabasele, Fabrice Olinga,Gael Etock, M'Baye Niang na wengine wengi.

Lakini makinda wanaocheza Afrika huwezi kutaja wachezaji 10 bila kuwataja Siyabonga Mabena (16) wa Mamelodi Sundowns na Relebohile Ratomo (17) wa Orlando Pirates

Hawa madogo wanakuja kuliteka soka la Afrika siku zijazo...

Mabena kupata nafasi ya kucheza katika Kikosi cha Mamelodi Sundowns sio jambo rahisi...

Kocha wa Orlando Pirates Jose Riveiro amesikika akimzungumzia kinda wake Relebohile Ratomo kuwa katika umri wa miaka 17 tayari ni miongoni mwa wachezaji 18 wa Orlando Pirates na anamuona akifanya vizuri zaidi siku za usoni.

Hata sisi Tanzania vilabu vyetu vina jitahidi sana kuwaandaa makinda.

Yanga wana Mzize na Nkane...Azam Fc wana Tepsie

Timu zingine bado wana nafasi ya kuwandaa vijana kwa manufaa ya Taifa letu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live