Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa wawakilishi wa Afrika Kombe la Dunia la Vilabu 2025

GMFpNouXsAADJpd Hawa hapa wawakilishi wa Afrika Kombe la Dunia la Vilabu 2025

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Duniani FIFA limezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani [ USA ]

Wydad Athletic Club - WAC

Al Ahly SC

Espérance Sportive de Tunis

Mamelodi Sundowns FC

Club Rankings ilivyo kwa sasa

1.Al Ahly (Pts 130)

2.Wydad (Pts 108)

3.Mamelodi (Pts 98)

4.Esperance (Pts 93)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live