Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa

Simba Klabu Bingwa Kikosi cha Simba SC

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imepangwa kundi C katika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika leo nchini Misri.

Katika kundi hilo C, Simba imepangwa na timu za Raja Casablanca (Morocco), Horoya (Guinea) na Vipers (Uganda).

Mechi za mzunguko wa kwanza hatua ya makundi zitaanza kupigwa Februari 10 na Februari 11, 2023.

Mtiririko mzima wa makundi upo kama unavyoonekana hapa chini;

KUNDI A: Wydad AC Petro Atletico JS Kabylie AS Vita

KUNDI B: Al Ahly Mamelodi Sundowns Al Hilal Coton Sport

KUNDI C: Raja CA Horoya AC Simba Vipers

KUNDI D; Esperance Zamalek CR Belouizdad Al Merrikh

Chanzo: www.tanzaniaweb.live