Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa wanaowania tuzo ya Mchezaji bora EURO 2024

Saka X Salibaaaaaa Hawa hapa wanaowania tuzo ya Mchezaji bora EURO 2024

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Arsenal, William Saliba na Bukayo Saka wameteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Euro 2024, pamoja na orodha ya wachezaji wengine.

Waliojiunga nao ni Rodri, Cody Gakpo, Jude Bellingham, Lamine Yamal, Fabián Ruiz, Kylian Mbappé, N'Golo Kanté, Nico Williams na Dani Olmo.

Cha kufurahisha, Antoine Griezmann (EURO 2016) ndiye mchezaji pekee aliyeshinda tuzo hii bila kunyanyua kombe la mashindano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live