Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa wababe Nusu Fainali African Football League

Mamelodi Vs Ahly October Hawa hapa wababe Nusu Fainali African Football League

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye hatua ya robo fainali mashindano ya African Football League (AFL) imetamatika na sasa mechi za nusu fainali ndizo zinafuata.

Katika AFL timu zilipangwa katika Pot 1 na 2 huku zile za Pot 1 zote zikiaga mashindano hayo hatua ya robo fainali zikiacha zile za Pot 2 kuendelea hatua ya nusu fainali.

Nusu fainali itakuwa;

Mamelodi vs Al Ahly (Oktoba 29 na Novemba 1)

Wydad vs Esperance (Oktoba 29 na Novemba 1)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live