Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa makocha wapya Singida United

Makocha Singida Hawa hapa makocha wapya Singida United

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imewatambulisga makocha wao wapya NGAWINA NGAWINA kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo pamoja Ally Mustapha 'Barthez' kuwa kocha wao Mpya wa Makipa,

Ngawina Ngawina na Ally Mustapha wanachukua mikoba hiyo wakitokea klabu ya FGA talents inayoshiriki ligi ya Championship

Hii ni baada ya klab hiyo ya ya Singida Fountain gate kulivunja benchi la ufundi siku kadhaa zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live