Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa hapa kupewa "Thank You" Yanga Januari

Moloko X Konkoni Hawa hapa kupewa "Thank You" Yanga Januari

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kuwa Nyota wanne wa Klabu hiyo wataoneshwa mlango wa kutokea Januari.

Wakati hao wanne wakionesha mlango wa kutokea, ni fagio kupisha maingizo mapya kwa ajili ya kuja kuboresha kikosi cha Miguel Gamondi.

Nyota wanaotajwa kuacha ni pamoja na;

Gift Fred

Hafiz Konkoni

Mahlatse Makudubela ‘Skudu’

Jesus Moloko

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: